mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profileg
mimilicious🌹🍒

@amina_hafidh

I don't give a damn💛💚💛💚yanga damudamu✌ madam influencer
Man U fan ❤💛❤💛
Muslim girl🧕mtoto wa ulamaar😌🕋

ID:1241332573495795713

calendar_today21-03-2020 11:55:41

176,6K Tweets

130,9K Followers

2,9K Following

mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Nani nimtengenezee tende shake leo😋😋😋
Mkifika 20 natengeneza😂😂
Lazima tutengeneze uanaume kiasili🤝

account_circle
TherealmakaJ(@gwamaka_) 's Twitter Profile Photo

Kwa ile sebule mwamba angekausha tu, sio kwamba mbaya hapana ila mtu mwenye gari kali, sijui miradi haendani na ile sebule, nyumba yenyewe ukilipa sana 200k. Na hapo ndipo watu wanabrag.

account_circle
mimilicious🌹🍒(@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Imekuaje hiii🥺🥺
Redio imeharibika asubuhi
Gesi imeisha mchana
Kifurushi kimekata muda huu
😭😭🤦‍♀️

Imekuaje hiii🥺🥺 Redio imeharibika asubuhi Gesi imeisha mchana Kifurushi kimekata muda huu 😭😭🤦‍♀️
account_circle
Deoxz Keezy(@Deoxz) 's Twitter Profile Photo

-Naomba na yako

-Mzigo wa mteja ukiwa Umeshafungwa kuelekea mkoani mteja aliwekewa oda na wanakamati wa harusi yake🙏

-Asante sana classmate wangu Husna na Hongera👏

📍 Location: Tabata Baracuda

☎️ Call: 0656177195

WhatsApp: wa.me/255656177195

Karibu.

account_circle