Lupus Warriors Tanzania
@lupuswarriorstz
We aim to raise awareness and provide support for the Lupus community in Tanzania
ID:978303334795923457
26-03-2018 16:11:05
501 Tweets
370 Followers
140 Following
Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani hufanyika kila tarehe ya mwisho ya mwezi Februari yakilenga kujenga uelewa kuhusu Magonjwa yanayotokea kwa kundi dogo la watu na athari zake #RareDiseaseDay
Takriban Watu Milioni 300 Duniani kote wanaishi na 'Magonjwa Adimu'
Kujifunza zaidi kuhusu Magonjwa haya, JamiiForums itaendesha Mjadala na Wataalamu MUHAS, Taasisi ya Magonjwa Adimu - Ali Kimara, Hospitali ya Aga Khan, THGO na Lupus Warriors
#RareDisease
Watu wengi wanapambana na magonjwa adimu kila uchwao.
Ni wacheshi, wenye furaha na husherehekea kila ushindi mdogo wanaoupata katika mapambano.
#ElimikaWikiendi
#magonjwaadimu
#raredisease
#2024rarediseasedaytz
Kuelimisha jamii kuhusu Lupus ni muhimu katika kupunguza unyanyapaa, kuboresha huduma za matibabu, na kusaidia wagonjwa kupata matibabu sahihi na kwa haraka #LupusAwareness
Jamii Forums Jamii Forums kwa ushirikiano na wadau wa Lupus wa Tanzania, Kenya na Afrika wanakualika kwenye mjadala wa ugonjwa wa Lupus.
#LupusAwarenessMonth
Ungana na Jamii Forums ,Muhimbili University , Muhimbili National Hospital PAFLAR AFRICA na wadau wengine kujadili ugonjwa wa Lupus.
#LupusAwarenessMonth
Let’s talk about Lupus on Twitter spaces organized by Jamii Forums in collaboration with stakeholders from Africa on 31/05/2023. Jean Orwa Banda
#LupusAwarenessMonth
Maureen amekuwa msitari wa mbele katika juhudi za toa elimu juu ya ugonjwa Lupus Tanzania.
#ElimikaWikiendi
#LupusAwarenessMonth
Prof Janabi akimpongeza Maureen ambaye ni mpambanaji wa Lupus aliyefanya kazi kubwa kuandaa maadhimisho ya siku ya Lupus yaliyofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili Muhimbili National Hospital
#LupusAwarenessMonth
#ElimikaWikiendi
Kuelimisha jamii kuhusu Lupus ni muhimu katika kupunguza unyanyapaa, kuboresha huduma za matibabu, na kusaidia wagonjwa kupata matibabu sahihi na kwa haraka
#ElimikaWikiendi
#LupusAwarenessMonth
Lupus Warriors Tanzania ni taasisi inayo jumuisha wagonjwa, wazazi na walezi wanaokabiliana na ugonjwa wa Lupus na kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa huu #ElimikaWikiendi #LupusAwarenessMonth
Mei ni mwezi wa kutoa elimu juu ya ugonjwa wa Lupus na tarehe 10 Mei ni siku ya Lupus duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni fanya Lupus ionekane zaidi #ElimikaWikiendi #MakeLupusVisible #LupusAwarenessMonth