Rahma Hassani(@rahma_hassani) 's Twitter Profileg
Rahma Hassani

@rahma_hassani

ID:1062677589960081408

calendar_today14-11-2018 12:04:15

27,7K Tweets

35,6K Followers

3,8K Following

𝕄𝕣. π”Ήπ•–π•–πŸ―πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@MrBeeTanz) 's Twitter Profile Photo

Una nguvu na uwezo mkubwa, waamini wale wanaokuzunguka, na uelekeze akili yako kwenye mawazo chanya.

Good Morning Champs β˜€οΈπŸ‘ŠπŸ½

account_circle
Ahmed Abdulla(@ahmedkherlid) 's Twitter Profile Photo

Today, I attended the Launching of the Institute of Architects and Engineers Zanzibar. H.E the President of Zanzibar and the Chairman of the Revolutionary Council was the Guests of Honor, and he emphasized that the implementation of major development projects in Zanzibar is

Today, I attended the Launching of the Institute of Architects and Engineers Zanzibar. H.E the President of Zanzibar and the Chairman of the Revolutionary Council was the Guests of Honor, and he emphasized that the implementation of major development projects in Zanzibar is
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
account_circle
Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo

Akiongea na Wafugaji hao Aprili 19, 2024 Kamanda Mkama amesema kikao hicho ni maalumu kwa ajili ya kuwapa elimu na mbinu za Ulinzi na Usalama wa Mifugo yao ikiwa ni pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi kutoa taarifa mbalimbali za wizi wa mifugo

instagram.com/p/C5-1olLqBtl/…

account_circle
Police Force TZ(@tanpol) 's Twitter Profile Photo

WAFUGAJI WANENA NA KAMANDA MKAMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amafanya kikao na Viongozi wa Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa humo kwa lengo kuimarisha Ulinzi na Usalama wa mifugo yao na kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kukomesha wizi wa Mifugo.

WAFUGAJI WANENA NA KAMANDA MKAMA Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro amafanya kikao na Viongozi wa Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa humo kwa lengo kuimarisha Ulinzi na Usalama wa mifugo yao na kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kukomesha wizi wa Mifugo.
account_circle
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI KUZALISHA TANI ELFU 50 KWA MWAKA IFIKAPO 2026/27.

Mradi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi
Serikali imeendelea na ujenzi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi ambapo
ujenzi umefikia asilimia 99 kwa gharama ya shilingi bilioni 320.05.

Kiwanda hicho kimeanza

account_circle