Frank kachelewa🇹🇿🦁(@frankkachelewaa) 's Twitter Profile Photo

inatoa pole kwa familia ya Noel Mwingila (Zuchy), wafanyakazi wenzake wa millardayo, ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.

#CloudsMediaGroup inatoa pole kwa familia ya Noel Mwingila (Zuchy), wafanyakazi wenzake wa @millardayo, ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. #TutaonanaBaadae
account_circle
Brenda Msangi(@BKinemo) 's Twitter Profile Photo

What an honour to be recognised as under the category of (Community Services) by .

It was a night of inspirational stories of women leading, breaking glass ceilings, and doing amazing things!

What an honour to be recognised as #MalkiaWaNguvu2024 under the category of #Leadership  (Community Services) by #CloudsMediaGroup.

It was a night of inspirational stories of women leading, breaking glass ceilings, and doing amazing things!

#WomenInLeadership #Healthcare
account_circle
Leah Imani(@Leahmsusiwetu) 's Twitter Profile Photo

Kibasiiiiiiiiii cha Wacloudsnia Mjengoni hicho kiko tayari na ! karibu uungane nasi na CRDB Bank PLC pamoja tusambaze tabasamu

Hakikisha kikundi chako hakikosi hiyo pale viwanja vya DSM kuwa sehemu ya histor

Kibasiiiiiiiiii cha Wacloudsnia Mjengoni hicho kiko tayari na #MikimbioYaBimkubwa! karibu uungane nasi #Cloudsmediagroup na @CRDBBankPlc pamoja tusambaze tabasamu 

Hakikisha kikundi chako hakikosi hiyo #Agosti13 pale viwanja vya #GreenGrounds #OysterBay DSM kuwa sehemu ya histor
account_circle
Frank kachelewa🇹🇿🦁(@frankkachelewaa) 's Twitter Profile Photo

tunaungana na WACLOUDSANIA kumtakia kheri ya kumbukizi ya siku yake ya @thebestfetty.

tunaendelea kuthamini mchango wako wa @thebestfetty nasi tunakutakia mwaka mwingine wa mafanikio na baraka zaidi.

#CloudsMediaGroup tunaungana na @wacloudsania kumtakia kheri ya kumbukizi ya siku yake ya @thebestfetty.

#CMG tunaendelea kuthamini mchango wako wa @thebestfetty nasi tunakutakia mwaka mwingine wa mafanikio na baraka zaidi.

#HappybirthdayThebestfetty
#7bisha2023
account_circle
SIMON F.MACHIBYA🇹🇿(@Simon_Machibya) 's Twitter Profile Photo

1/5/1970 ni siku ambayo alizaliwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa , Ruge Mutahaba.

Ikumbukwe Ruge alifariki February 26, 2019 nchini Afrika Kusini ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Tunathamini mchango wako wa dhati na kusherekea maisha yako

1/5/1970 ni siku ambayo alizaliwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa #Cloudsmediagroup, Ruge Mutahaba.

Ikumbukwe Ruge alifariki February 26, 2019 nchini Afrika Kusini ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Tunathamini mchango wako wa dhati na kusherekea maisha yako
account_circle
stenobway360(@stenobrain) 's Twitter Profile Photo

:
inasikitika kuwataarifu kuwa Mfanyakazi mwenzetu/Kaka yetu Peter Kigodi (PETER KABAISA) ambaye alikuwa Dereva amefariki leo mchana huu katika Hospitali ya Muhimbili - Mloganzila alipokuwa akipatiwa Matibabu.

#TANZIA: #Cloudsmediagroup 
inasikitika kuwataarifu kuwa  Mfanyakazi mwenzetu/Kaka yetu Peter Kigodi (PETER KABAISA) ambaye alikuwa Dereva amefariki leo mchana huu katika Hospitali ya Muhimbili - Mloganzila alipokuwa akipatiwa Matibabu.
account_circle
Frank kachelewa🇹🇿🦁(@frankkachelewaa) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 16 hapa Mjengoni tunasheherekea kuzaliwa kwa aliye nyuma ya Mkurugenzi wa @josephkusaga Leo ni kumbukumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya mkewe: Juhayna Kusaga (@ajmy_inna) ambaye ni Mkurugenzi wa

Leo Mei 16 hapa Mjengoni tunasheherekea kuzaliwa kwa #MalkiaWaNguvu aliye nyuma ya Mkurugenzi wa #CloudsMediaGroup @josephkusaga Leo ni kumbukumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya mkewe: Juhayna Kusaga (@ajmy_inna) ambaye  ni Mkurugenzi wa #PrimetimePromotion

#HappybirthdayMrsKusaga
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

: Uongozi na wafanyakazi wa unatoa pole kwa mwanafamilia wa Ndg Gerald Hando (Gerald Hando) kufuatia kifo cha mwenza wake kilichotokea leo Jumapili January 14,2024.

Moyo wa Mawingu ukufariji katika kipindi hiki kigumu unachopitia na Mwenyezi

#TANZIA: Uongozi na wafanyakazi wa #CloudsMediaGroup unatoa pole kwa mwanafamilia wa #WasafiMedia Ndg Gerald Hando (@geraldhando) kufuatia kifo cha mwenza wake kilichotokea leo Jumapili January 14,2024.

Moyo wa Mawingu ukufariji katika kipindi hiki kigumu unachopitia na Mwenyezi
account_circle
Frank kachelewa🇹🇿🦁(@frankkachelewaa) 's Twitter Profile Photo

tunawatakia kila la kheri kamshange tz, @sophiakessytz na @Mtengile555 katika kusherekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa. Happy birthday kwenu.

Maisha marefu na mafanikio zaidi tunawaombea WACLOUDSANIA.

#Cloudsmediagroup tunawatakia kila la kheri @kamshange_tz, @sophiakessytz na  @Mtengile555 katika kusherekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa. Happy birthday kwenu.

Maisha marefu na mafanikio zaidi tunawaombea @wacloudsania.

#7bisha2023 
#MoyoWaMawingu
account_circle
Sophia Kessy(@SophiaKessy) 's Twitter Profile Photo

Hellow Tanzania Hellow Africa hii ni zaidi ya baraka kwetu kusherehekea dozeni 2 kamilifu (Miaka 24) ya kutoa huduma za kiburudani, habari na elimu. Asante kwa kutuverify sisi ( ) kuwa kituo chako namba moja cha kusababisha burudani, habari, mijadala na elimu.

Hellow Tanzania Hellow Africa hii ni zaidi ya baraka kwetu kusherehekea dozeni 2 kamilifu (Miaka 24) ya kutoa huduma za kiburudani, habari na elimu. Asante kwa kutuverify sisi (#CloudsMediaGroup) kuwa kituo chako namba moja cha kusababisha burudani, habari, mijadala na elimu.
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kusababisha Comedy Search Mbeya, akapatikana mkali wao , na washkaji zetu Cheka Tu Live Comedy Show tunakutakia kila la kheri katika ulimwengu wa vichekesho ambao umefunguliwa leo.

Baada ya kusababisha Comedy Search Mbeya, akapatikana mkali wao #Piltonmusa, #Cloudsmediagroup na washkaji zetu @ChekaTu_ tunakutakia kila la kheri katika ulimwengu wa vichekesho ambao umefunguliwa leo.
account_circle
WACLOUDSANIA(@wacloudsania) 's Twitter Profile Photo

:
inasikitika kuwataarifu kuwa Mfanyakazi mwenzetu/Kaka yetu Peter Kigodi (PETER KABAISA) ambaye alikuwa Dereva amefariki leo mchana huu katika Hospitali ya Muhimbili - Mloganzila alipokuwa akipatiwa Matibabu.

#TANZIA: #Cloudsmediagroup 
inasikitika kuwataarifu kuwa  Mfanyakazi mwenzetu/Kaka yetu Peter Kigodi (PETER KABAISA) ambaye alikuwa Dereva amefariki leo mchana huu katika Hospitali ya Muhimbili - Mloganzila alipokuwa akipatiwa Matibabu.
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Afisa Uhusiano wa Emilian Mallya (Emilly Mallya) ametajwa kuwa Mwanafunzi Bora wa Stashahada ya Uzamili katika Diplomasia ya Uchumi (Postgraduate Diploma in Economic Diplomacy) katika mahafali ya 26 ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt Salim Ahmed Salim

Afisa Uhusiano wa #CloudsMediaGroup Emilian Mallya (@EmillyMallya) ametajwa kuwa Mwanafunzi Bora wa Stashahada ya Uzamili katika Diplomasia ya Uchumi (Postgraduate Diploma in Economic Diplomacy) katika mahafali ya 26 ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt Salim Ahmed Salim
account_circle
Mwaki(@Officialsam28) 's Twitter Profile Photo

Utiaji wa saini wa hati ya makubaliano ya ushirikiano kati ya Afisa Rasilimali watu wa @CloudsMediaGroup Mr. Elikimbilio Kitoi na Mkurugenzi Mtendaji wa FAST GAS Mr. Mohammed Albeit. Makubaliano yanahusisha ushirikiano katika kutangaza...

|

#NishatiSafi  |  #GasNiFasta
account_circle