Kefa(@Qefa_) 's Twitter Profile Photo

Halmashauri ya Kondoa imeonyesha kuwa mfano mzuri katika sekta ya afya ambapo kwa sehemu kubwa Asasi ya Sikika Imekuwa ikifanya miradi yake huko. Dada Lilian kutoka Kondoa akitoa uzoefu wake katika halmashauri hiyo.

account_circle