TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

KIFO TATANISHI CHA MWALIMU HOMABAY

Mwalimu auawa katika mazingira tatanishi Rangwe.

Wakaazi wa kijiji watiwa kiwewe baada ya kisa hicho.

Wazee wa kijiji hicho walaani kitendo hicho.

Walimu wasena wahofia kufunza asubuhi.

Andrine Kilemi

account_circle
KenyaSafi(@Mazingira254) 's Twitter Profile Photo

Kenya makes significant advances in provision of weather & climate information.

We should consider establishing a legally mandated institution for managing the response to flood disasters,the same way as the National Disaster Management Authority oversees drought emergencies.

Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Msichana akiwa na mazingira sahihi husoma bila vyema

Tumuwezesha kwa kuhitaji upatikanaji wa ambayo ni inafanikiwa, Weka sahihi yako hapa kukubaliana bluefindigital.co.tz/msichana/

Msichana akiwa na mazingira sahihi husoma bila vyema 

Tumuwezesha kwa kuhitaji upatikanaji wa #PediBure ambayo ni #PediBilaKodi inafanikiwa, Weka sahihi yako hapa kukubaliana bluefindigital.co.tz/msichana/
account_circle
NemcTanzania(@NemcTanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji wadogo Wanawake (TAWOMA) Bi Hamida Mussa akipokea zawadi ya mifuko rafiki wa mazingira kwa niaba ya wanachama wa vyama vya wachimbaji wadogo TAWOMA na NDEREMA wa Kata ya Matundasi, Mamlaka ya Mjidogo wa Makongolosi Mkoa wa Mbeya.

Raymond Kul(@Raykulx) 's Twitter Profile Photo

MAZINGIRA SHULENI Project, soutenu par Uhuru Centres, en partenariat avec @Hadisinjo, La Différence et Congo Circulaire. (Ensemble, nous façonnons un avenir plus propre en sensibilisant sur la gestion des déchets et l'importance de préserver notre environnement.)

MAZINGIRA SHULENI Project, soutenu par @Uhuruknowledge, en partenariat avec @Hadisinjo, @LaDifferenceDRC  et @CongoCirculaire. (Ensemble, nous façonnons un avenir plus propre en sensibilisant sur la gestion des déchets et l'importance de préserver notre environnement.)
account_circle
Dickson Didas(@didas4_didas) 's Twitter Profile Photo

Huhitaji kuambiwa andika barua ya ku resign,hii ni nini umeposti mzee, viongozi kama nyie ni wanini madarakani,binti alihitaji umeme mpaka nyumbani, mzazi wake alihitaji mazingira mazuri ya kujitegemea kiuchumi ili binti asome bila usumbufu,unamshukuru Amiri jeshi mkuu,aibu😭

account_circle
DEUSDEDITH SOKA(@DEUSDEDITHSOKA) 's Twitter Profile Photo

This is Look Man Leo amefunga magoli 3
Na wamechukua ubingwa.
Uwezo siyo rangi, African tuna uwezo mkubwa sana, tatizo letu ni mazingira mabovu yamayosababishwa na viongozi wenye tamaa ya madaraka na wapenda rushwa.

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹(@ThatBoyKhalifax) 's Twitter Profile Photo

vijana washiriki kwenye chaguzi zinazokuja, kama wapiga na wapigiwa kura? mazingira ya kisiasa na kisheria yanawawezesha kufanya hivyo? nitawauliza vijana maswali haya na mengineyo kwenye mdahalo ⁦ACTWazalendo⁩ imeandaa kuhusiana na mada hiyo. karibu nyote:

vijana washiriki kwenye chaguzi zinazokuja, kama wapiga na wapigiwa kura? mazingira ya kisiasa na kisheria yanawawezesha kufanya hivyo? nitawauliza vijana maswali haya na mengineyo kwenye mdahalo ⁦@ACTwazalendo⁩ imeandaa kuhusiana na mada hiyo. karibu nyote:
account_circle
Bimkubwatanzania(@Bimkubwatz) 's Twitter Profile Photo

DAR ES SALAAM.
Ripoti mpya iliyotolewa mwezi mei na shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imesema uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua hadi asilimia 5.4 mwaka 2024, kutokana na kuboreshwa kwa mazingira ya biashara na kupunguza bei za bidhaa duniani.

Kinywa Salama Initiative(@Kinywasalama) 's Twitter Profile Photo

Siku ya jana tuliweza kutembelea watoto wanaotokea mazingira magumu kituoni kwao CAMP CALEB-BUZA.Tulitoa elimu kwa watoto na walezi wao pamoja na kufanya uchunguzi wa Kinywa na meno.
Nia yetu ni kuwafikia watanzania wote bila kujali hali zao za uchumi na maisha.

account_circle
GlobalPeaceTanzania(@globalpeacetz) 's Twitter Profile Photo

Pia mtandao uliomba mamlaka husika kuweka mazingira rafiki kwa Wanawake wenye ulemavu kugombea na kushiriki mikutano ya kampeni. Mfano mikutano ya wagombea ifanyike sehemu zenye kivuli au mida ya jioni ili hata watu wenye ulemavu wa ngozi waweze kushiriki ipasavyo.

Job Ndugai(@ArushaGuy) 's Twitter Profile Photo

Ili kulinda mazingira na afya za watanzania, MAMA anahakikisha hakuna anayeachwa nyuma katika mageuzi ya nishati.

Uhakika wa upatikanaji na bei nafuu utawezesha watanzania kutumia nishati safi.

account_circle
Nelly.31(@nelly__31) 's Twitter Profile Photo

Wakuu kwani hamuwezi mkaniforcia mazingira hao followers 300 waliobaki nifike 2k niwapate hata kwa kuwalipa tu maana nawaomba wanipe handle zao nizifollow wanadelay 😮‍💨😮‍💨

Wakuu kwani hamuwezi mkaniforcia mazingira hao followers 300 waliobaki nifike 2k niwapate hata kwa kuwalipa tu maana nawaomba wanipe handle zao nizifollow wanadelay 😮‍💨😮‍💨
account_circle
Master Mark 🇨🇩🇹🇿(@Mastermark45) 's Twitter Profile Photo

Muonekano wa Kliniki ya Kinywa na Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Dodoma.

Rais Samia Suluhu anahakikisha Mtanzania anatibiwa Magonjwa ya Kinywa na Meno katika mazingira bora na vifaa vya kisasa.

Muonekano wa Kliniki ya Kinywa na Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Dodoma.

Rais Samia Suluhu anahakikisha Mtanzania anatibiwa Magonjwa ya Kinywa na Meno katika mazingira bora na vifaa vya kisasa.

#MamaYukoKazini
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TUWEKE MAZINGIRA RAFIKI YA HEDHI SALAMA KWA USTAWI WA JAMII YETU

Na WAF, Dodoma

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, MP ameitaka jamii na wadau kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama ili mwanamke aweze kutimiza majukumu yake bila kikwazo.

Waziri Ummy ametoa wito huo

TUWEKE MAZINGIRA RAFIKI YA HEDHI SALAMA KWA  USTAWI WA JAMII YETU

Na  WAF, Dodoma

Waziri wa Afya, Mhe. @ummymwalimu ameitaka jamii na wadau kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama ili mwanamke aweze kutimiza majukumu yake bila kikwazo.

Waziri Ummy ametoa wito huo
account_circle
Suphian Juma Nkuwi(@SuphianJuma) 's Twitter Profile Photo

Nimekubali mwaliko wa ACTWazalendo Ngome ya vijana_Official kuwa MZUNGUMZAJI kwenye mdahalo wa Kitaifa wa vijana Mei 25, 2024 juu ya mada; Mazingira ya kisiasa kuelekea chaguzi za Serikali za mitaa, Je! yanatoa fursa ya vijana kushiriki kikamilifu?

TUKUTANE MAGOMENI DAR, CCM OYEE!!

Nimekubali mwaliko wa @ACTwazalendo @NgomeyaVijana  kuwa MZUNGUMZAJI kwenye mdahalo wa Kitaifa wa vijana Mei 25, 2024 juu ya mada; Mazingira ya kisiasa kuelekea chaguzi za Serikali za mitaa, Je! yanatoa fursa ya vijana kushiriki kikamilifu?

TUKUTANE MAGOMENI DAR, CCM OYEE!!
account_circle