Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profileg
Ngome ya vijana_Official

@NgomeyaVijana

Ukurasa Rasmi Wa Ngome Ya Vijana @ACTwazalendo https://t.co/3794ZHb99Q

ID:721902913296211968

calendar_today18-04-2016 03:27:21

4,7K Tweets

8,8K Followers

64 Following

Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

TWENZETU KIGOMA

Ngome ya vijana_Official inawaalika wanachama wote kuhudhuria Fainali ya mashindano ya ligi ya kwa mshindi wa 3, 2 na wa 1 yatakayofanyika Viwanja vya Kawawa trh 3 na 4 Mei kuelekea maadhimisho ya ACTDAY 5Mei

TWENZETU KIGOMA @NgomeyaVijana inawaalika wanachama wote kuhudhuria Fainali ya mashindano ya ligi ya #WazalendoCUP kwa mshindi wa 3, 2 na wa 1 yatakayofanyika Viwanja vya Kawawa trh 3 na 4 Mei kuelekea maadhimisho ya ACTDAY 5Mei #10MaslahiyaWote #Ngomeikokazini #TwenzetuKigoma
account_circle
Mwl. Macheyeki Philbert Jr(@PMacheyeki) 's Twitter Profile Photo

TWENZETU KIGOMA

Ngome ya vijana_Official inawaalika wanachama wote kuhudhuria Fainali ya mashindano ya ligi ya kwa mshindi wa 3, 2 na wa 1 yatakayofanyika Viwanja vya Kawawa trh 3 na 4 Mei kuelekea maadhimisho ya ACTDAY 5Mei

TWENZETU KIGOMA @NgomeyaVijana inawaalika wanachama wote kuhudhuria Fainali ya mashindano ya ligi ya #WazalendoCUP kwa mshindi wa 3, 2 na wa 1 yatakayofanyika Viwanja vya Kawawa trh 3 na 4 Mei kuelekea maadhimisho ya ACTDAY 5Mei #10MaslahiyaWote #Ngomeikokazini #TwenzetuKigoma
account_circle
Gololo(@ndandavale) 's Twitter Profile Photo

Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa na Naibu Katibu wetu Ngome ya vijana_Official Taifa,ndg Ruqayya Mahmoud Nassir Mjini Moshi baada ya chama chetu kufanya Mkutano Mkubwa wa Kidemokrasia uliohudhuriwa na wakazi zaidi ya 2000 kutoka Mkoa wa Kilimanjaro.Hakika chama hiki ni cha kitaifa. Kila Mkoa kipo hadi ngazi ya Tawi.

Nikiwa na Naibu Katibu wetu @NgomeyaVijana Taifa,ndg @RuqayyaNassir Mjini Moshi baada ya chama chetu kufanya Mkutano Mkubwa wa Kidemokrasia uliohudhuriwa na wakazi zaidi ya 2000 kutoka Mkoa wa Kilimanjaro.Hakika chama hiki ni cha kitaifa. Kila Mkoa kipo hadi ngazi ya Tawi.
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

UCHAGUZI ACTWASO

Tarehe 27 Aprili, Katibu wa Idara ya Vyuo vikuu Ndg Baswariyyu amekuwa mgeni rasmi katika Uchaguzi wa kuwapata Viongozi wa ACTWASO Tawi la UDSM. Ndugu Baswarriyu ameahidi ACT kukita mizizi Vyuo vyote nchini.

UCHAGUZI ACTWASO Tarehe 27 Aprili, Katibu wa Idara ya Vyuo vikuu Ndg @HusseinBaswari1 amekuwa mgeni rasmi katika Uchaguzi wa kuwapata Viongozi wa ACTWASO Tawi la UDSM. Ndugu Baswarriyu ameahidi ACT kukita mizizi Vyuo vyote nchini. #SoteniWashindi #UDSMisPurple #NgomeipoKazini
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

Ngome ya vijana_Official tumesikitishwa na kitendo cha Polisi (@tanpol) kuwakamata Ndug. MalisaGJ na Boniface Jacob kwa kupaza sauti dhidi ya mauaji ambayo Polisi wamekuwa wakiyafanya. Sote tumekuwa mstari wa mbele kukemea vitendo vya Polisi kuwauwa Vijana wetu na uchunguzi kutofanyika.

@NgomeyaVijana tumesikitishwa na kitendo cha Polisi (@tanpol) kuwakamata Ndug. @MalisaGJ_ na @ExMayorUbungo kwa kupaza sauti dhidi ya mauaji ambayo Polisi wamekuwa wakiyafanya. Sote tumekuwa mstari wa mbele kukemea vitendo vya Polisi kuwauwa Vijana wetu na uchunguzi kutofanyika.
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

KUMEKUCHA VYUO VIKUU

Ngome ya vijana_Official inapenda kukutaarifa ewe mwanachama wa ACTWazalendo Tawi la UDSM kuwa zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Tawi hilo limefunguliwa leo 23 Aprili 2024.

πŸ’œ

KUMEKUCHA VYUO VIKUU @NgomeyaVijana inapenda kukutaarifa ewe mwanachama wa @ACTwazalendo Tawi la UDSM kuwa zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi katika Tawi hilo limefunguliwa leo 23 Aprili 2024. #SoteniWashindi #NgomeipoKazini #UDSMisPurple πŸ’œ
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

Ngome ya vijana_Official chini ya Mwenyekiti Ndugu Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tumeshiriki kikamilifu kuwafariji ndugu zetu wa Rufiji. Tumebaini mafuriko haya yametokana na uzembe mkubwa wa TANESCO. Tunaitaka Serikali kuwalipa fidia waathirika wote wa mafuriko.

@NgomeyaVijana chini ya Mwenyekiti Ndugu @abdulnondo2 tumeshiriki kikamilifu kuwafariji ndugu zetu wa Rufiji. Tumebaini mafuriko haya yametokana na uzembe mkubwa wa @tanescoyetutz. Tunaitaka Serikali kuwalipa fidia waathirika wote wa mafuriko. #MoyowetuRufiji #Ngomeipokazini
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

Leo Aprili 22 M'Kiti wa Ngome ya vijana_Official Taifa Ndugu Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na Katibu Bussara Jr. wameshiriki katika ziara ya Kiongozi wa Chama Bi. @Dorothsemu Wilayani Rufiji kuwafariji waathirika wa mafuriko. KC Semu amekabidhi misaada ya kibinadamu kwa Mkuu wa Wiaya hiyo

Leo Aprili 22 M'Kiti wa @NgomeyaVijana Taifa Ndugu @abdulnondo2 na Katibu @BussaraJr wameshiriki katika ziara ya Kiongozi wa Chama Bi. @Dorothsemu Wilayani Rufiji kuwafariji waathirika wa mafuriko. KC Semu amekabidhi misaada ya kibinadamu kwa Mkuu wa Wiaya hiyo #MoyoWetuRufiji
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

Leo Ngome ya vijana_Official tumefanya Kongamano kubwa kuadhimisha miaka 10 ya Chama chetu. Mgeni rasmi wa Kongamano hili alikuwa Mwenyekiti Mh.Othman Masoud Othman .Kesho tunaenda Rufiji Moyo wetu upo huko, tukirudi Twenzetu MOSHI,tar 5/Mei Kilele Kigomaaaa. Hiki chama ndio Matumaini ya Watanzania

Leo @NgomeyaVijana tumefanya Kongamano kubwa kuadhimisha miaka 10 ya Chama chetu. Mgeni rasmi wa Kongamano hili alikuwa Mwenyekiti Mh.@othmasoud .Kesho tunaenda Rufiji Moyo wetu upo huko, tukirudi Twenzetu MOSHI,tar 5/Mei Kilele Kigomaaaa. Hiki chama ndio Matumaini ya Watanzania
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

Kongamano la Ngome ya vijana_Official wa chama cha ACTWazalendo litafanyika Kesho trh 21 Aprili katika Ukumbi wa -Kombeni ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Othman Masoud Othman, M'Kiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa.

Kongamano la @NgomeyaVijana wa chama cha @ACTwazalendo litafanyika Kesho trh 21 Aprili katika Ukumbi wa #PiccaDillyHall -Kombeni ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Othman Masoud Othman, M'Kiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa. #10MamlakaKamili #Ngomeikokazini #TwenzetuZanzibar
account_circle
Ngome ya vijana_Official(@NgomeyaVijana) 's Twitter Profile Photo

KUMEKUCHA ZANZIBAR

Ngome ya vijana_Official Taifa inawaalika Vijana wote kuhudhuria Kongamano la Vijana litakalofanyika Kesho 21 April Visiwani Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi atakuwa ni Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa Mhe. Othuman Masoud

KUMEKUCHA ZANZIBAR @NgomeyaVijana Taifa inawaalika Vijana wote kuhudhuria Kongamano la Vijana litakalofanyika Kesho 21 April Visiwani Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi atakuwa ni Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa Mhe. Othuman Masoud #10MamlakaKamili #Ngomeikokazini #TwenzetuZanzibar
account_circle