Mtoto wa Mama๐Ÿ‘ถ(@CenturyBoe) 's Twitter Profile Photo

'ZIFAHAMU LABEL MAARUFU ZA MZIKI ZILIZOPO AFRIKA..'

Mziki wa Afrika umepambwa kwa kazi nzuri na ubunifu wa kila aina ila vyote vimewekwa chachu na utendaji kazi wa Label mbali mbali zilizopo na kufanya ukubwa wa mziki wa Afrika..

SHUKA NAMI๐Ÿค

account_circle
Ubunifu Hub(@Ubunifu_Hub) 's Twitter Profile Photo

Highlight of the Week ๐Ÿšจ

Our youths attended an International Day of Disaster Risk Reduction (IDDRR) sensitization forum.

The forum raised awareness on how we can actively reduce risks and vulnerabilities associated with disasters that affect us all.

#ClimateCrisis
account_circle
Gery(@Gery_Gerrald) 's Twitter Profile Photo

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea.

Ubunifu.

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea. 

Ubunifu.
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Vijijini tulikuwa creative sana, hili li elimu la mkoloni lilikuja kutunyangโ€™anya ubunifu wote likatuachia maandishi tu huku kuchwani. ๐Ÿ˜ฐ

account_circle
Vodacom Tanzania(@VodacomTanzania) 's Twitter Profile Photo

๐’๐ก๐š๐ง๐ ๐ฐ๐ž ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฅ๐จ๐ญ๐ž ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐Œ๐ญ๐š๐ง๐๐š๐จ ๐’๐ฎ๐ฉ๐š!

2023 ulikuwa ni mwaka mzuri wa mafanikio kutoka kwa watendaji wetu kutoka kanda mbalimbali. Daima, tutaendeleza juhudi za kupongeza na kusherehekea ubunifu kwenye uchapaji kazi.

Vodacom ni

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Acha kutisha watumishi.Huna mamlaka yoyote zaidi ya kufuata Katiba/Sheria.Fanya vikao na watumishi kwa adabu na miongozo. Acha kuua ubunifu ndani yao na morali ya kazi. Anyway,nimeshituka nilivyosikia unakemea rushwa. CHADEMA itakuwa macho kukemea kila aina ya uone.Watumishiโ€ฆ

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kukosekana kwa ajira,kazi na ubunifu ktk miradi ya kijamii pia ktk viwanda, mashamba na biashara muhimu ni msingi mkubwa unaofanikisha mikopo ya kausha damu,kwani mabenki yanashindwa kubuni sera nzuri za mikopo ktk jamii kwa sababu uwezo wa jamii ni duni inapokuja wajibu wakeโ€ฆ

Vasco Stanley(@StanleyVasco) 's Twitter Profile Photo

Je, huu unaweza kuwa ni ubunifu wenye tija na wa maana?
Ni sahihi kimaadili na kijamii kufanya kazi kama hii?

account_circle
๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—–๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐˜€(@MTzCreatives) 's Twitter Profile Photo

Je, unatafuta njia bora ya kukuza biashara yako na kufikia wateja zaidi?
Mtanzania Creatives ndio suluhisho lako!
Tunatoa huduma bora za masoko ya dijitali, matangazo, na ubunifu wa picha ambazo zitakusaidia kufikia malengo yako ya biashara.

Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa Makanisa yaliyojengwa kisasa sana na yenye mchanganyiko wa ubunifu wa zamani na wa wakati huu ni pamoja na Kanisa hili. Je Unajua liko wapi na linaitwaje?