Black_Tourist👬(@Babawawili_2) 's Twitter Profileg
Black_Tourist👬

@Babawawili_2

Tanzanian |Born to Make Friends | Mwalimu Msomi | Baba Twins 👬| #CertifiedDigitalMarketer #CertifiedTeacher

ID:2418037767

calendar_today17-03-2014 17:11:39

114,7K Tweets

22,6K Followers

7,6K Following

Twaweza - ni sisi(@Twaweza_NiSisi) 's Twitter Profile Photo

JF itashirikiana na Twaweza, kwa kuwa taasisi hizi zinathamini kupaza huleta mabadiliko chanya nchini. Twaweza hutoa tafiti kuhusu mtazamo na uzoefu wa wananchi juu ya masuala mbalimbali. Sauti za Wananchi hutoa hali halisi ya wananchi kwa vyombo vya habari na

JF itashirikiana na Twaweza, kwa kuwa taasisi hizi zinathamini kupaza #SautiZaWananchi huleta mabadiliko chanya nchini. Twaweza hutoa tafiti kuhusu mtazamo na uzoefu wa wananchi juu ya masuala mbalimbali. Sauti za Wananchi hutoa hali halisi ya wananchi kwa vyombo vya habari na
account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Je wajua?
Yanga ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyowahi kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati nje ya nchi? Imefanya hivyo mwaka 1993 na 1999.

Wale wengine ni wataalam wa Kupigwa Hamsa nje ya nchi 😹🤣

Je wajua? Yanga ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyowahi kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati nje ya nchi? Imefanya hivyo mwaka 1993 na 1999. Wale wengine ni wataalam wa Kupigwa Hamsa nje ya nchi 😹🤣 #ElimikaWikiendi
account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Je wajua

Mzee Mpili ndio mzee alie jizolea umaarufu mkubwa miaka ya hivi karibuni kuliko wazee wengi wa upande wa pili? (Simba)

Je wajua Mzee Mpili ndio mzee alie jizolea umaarufu mkubwa miaka ya hivi karibuni kuliko wazee wengi wa upande wa pili? (Simba) #ElimikaWikiendi
account_circle
Lugz🎈(@HenryLugz) 's Twitter Profile Photo

Kindly repost 🙏🏿

25pcs Hunter Combination Grip spanner set Made in India 🇮🇳- Tsh. 140,000.

☎️: 0658137613

Kindly repost 🙏🏿 25pcs Hunter Combination Grip spanner set Made in India 🇮🇳- Tsh. 140,000. ☎️: 0658137613
account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Je wajua

Mchezaji wa kwanza kufunga kariakoo Derby ni Mawazo Shomvi tarehe 07/06/1965 akiifungia Yanga baada ya hapo upinzani ukaanza kuwa mkali

Je wajua Mchezaji wa kwanza kufunga kariakoo Derby ni Mawazo Shomvi tarehe 07/06/1965 akiifungia Yanga baada ya hapo upinzani ukaanza kuwa mkali #ElimikaWikiendi
account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Je wajua?

Eng: Hersi Said alianza kuisapoti Yanga Afrika mwaka 1992, baba yake mzazi alikuwa ni shabiki kipenzi wa timu hii tishio kwa sasa nchini!!

Hii najua hujui - alikua akifuatilia mechi nyingi mubashara kupitia redioni pamoja na rafiki zake!

Je wajua? Eng: Hersi Said alianza kuisapoti Yanga Afrika mwaka 1992, baba yake mzazi alikuwa ni shabiki kipenzi wa timu hii tishio kwa sasa nchini!! Hii najua hujui - alikua akifuatilia mechi nyingi mubashara kupitia redioni pamoja na rafiki zake! #ElimikaWikiendi
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Wewe mtumishi ama mwajiriwa una ndoto za kumiliki mjengo wako usijali CRDB Bank PLC wanaweza kukupa Hadi 200 milioni kwa masaa 24 ukiwa na Salary Account ya CRDB Bank PLC.

Wahi Leo fika tawini fungua account yako.

Wewe mtumishi ama mwajiriwa una ndoto za kumiliki mjengo wako usijali @CRDBBankPlc wanaweza kukupa Hadi 200 milioni kwa masaa 24 ukiwa na Salary Account ya @CRDBBankPlc. Wahi Leo fika tawini fungua account yako. #SwahibaLanguLako
account_circle