GetrudeM(@GetrudeMligo) 's Twitter Profileg
GetrudeM

@GetrudeMligo

Author of 13 Books FT Korea | G.E.C @UN_Women| Supporting Your Digital Dream @Natokajekidigit| Storyteller| Digital Media Consultant| By Grace Through Faith💐

ID:898230328342462464

linkhttps://mstack.me/getrudemligo calendar_today17-08-2017 17:09:33

36,9K Tweets

16,5K Followers

499 Following

Natokaje Kidigitali🪄(@Natokajekidigit) 's Twitter Profile Photo

Tunawajengea uwezo mkubwa watoto wa kujiamini pindi wanapoongea mbele ya watu😍

Kujiamini ni vazi muhimu sana kwa mtoto, na anatakiwa kulivaa vazi hili mapema kabla hajachelewa🥳

Tunawajengea uwezo mkubwa watoto wa kujiamini pindi wanapoongea mbele ya watu😍 Kujiamini ni vazi muhimu sana kwa mtoto, na anatakiwa kulivaa vazi hili mapema kabla hajachelewa🥳 #natokajekidigitali
account_circle
TK(@Theklaschulte2) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa unabadilisha marafiki kila siku, then kuna shida mahali.

Hakuna marafiki wapya, tunaongeza idadi ya tunaowafahamu.

account_circle
KIPEPE 💊(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Mama Yenu Mdogo ♥️ Now Anenjoy kimalkia,👸 ni na akaunti ya kutoka CRDB, hii ni maalum kwa ajili ya wanawake kujiwekea akiba na kujipatia faida kila mwezi.

·Kianzio ni Tsh 5000 tu, tembelea tawi la Benki ya CRDB Bank PLC kufungua account sasa.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Zile zama za risiti kufutika ama kupote zimekwisha. Ukiwa na Simplify VFD unatunza taarifa zako za risiti kwa matumizi ya baadae.
Fuata ukurasa wao kwa taarifa zaidi.
Simplify

account_circle
Charity Flora✨(@CharityFlora1) 's Twitter Profile Photo

Vijana Hatushirikishwi Au Sisi Hatutaki Kushiriki Kwenye Uongozi ??

Sasa Kesho Tutakuwa Na Ndolezi Kiongozi Kijana Ataunguruma Na Sisi Kwenye Usikose.

Vijana Hatushirikishwi Au Sisi Hatutaki Kushiriki Kwenye Uongozi ?? Sasa Kesho Tutakuwa Na @Ndolezi_Petro Kiongozi Kijana Ataunguruma Na Sisi Kwenye #ElimikaWikiendi Usikose.
account_circle
Hakuna Matata(@mis_minky) 's Twitter Profile Photo

Most companies should transition to a hybrid workplace model, where remote work is an option, as long as employees continue to deliver effectively against their goals.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Hawa jamaa Simplify wanafanya kitu kimoja amazing, kwanza changamoto ya risiti za EFD kufutika wameitibu kwa kuweka soft copy, pia kuweza kutoa risiti popote ulipo na kumtumia kupitia njia nyingine za Mawasiliano ukiwa popote hata kama huna access na EFD machine.
Wafuate 🙏🏽

account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Thanks to LOG AI - today, AGAIN, we were able to turn words into action.

LP Digital & Women and Technology Tanzania we ‘ve been able to create safe spaces that speak to women & girls' learning needs when it comes to digital skills & beyond

Courses will be launching very soon!

account_circle
kai(@kaimollel) 's Twitter Profile Photo

Leo
I miss my father a little bit more than usual. (RIP)
So, I will share his thoughts👇🏽

1. “Cha mtu si kitu, tafuta cha kwako Mama”.

2. “Hakikisha unasalimiana na kila mtu, jua majirani zako”.

3. “Wazee wanasahaulika, wengi wametelekezwa na watoto wao, uwe unawakumbuka Mama”.

account_circle
KAPETO🇹🇿(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

'Ukiwa unataka kitu toka kwenye Akili Mnembe ni vyema ukaweka details zako vizuri ili upate kile unachokitaka, mfano ukitaka picha ya mwanamke mweusi inabidi uiambie kabisa picha ya mwanamke mweusi “ Carol Ndosi

'Ukiwa unataka kitu toka kwenye Akili Mnembe ni vyema ukaweka details zako vizuri ili upate kile unachokitaka, mfano ukitaka picha ya mwanamke mweusi inabidi uiambie kabisa picha ya mwanamke mweusi “ @CarolNdosi #GirlsInICTDay #TechWomenTz
account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Kujenga kesho bora! Leo, wanafunzi wa shule ya sekondari Juhudi na Buyuni wameungana nasi hapa The LaunchPad kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika ICT. Pamoja na LP Digital & Women and Technology Tanzania, tunafungua njia kwa vipaji vipya katika teknolojia. Femina Hip

account_circle