Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profileg
Hancy Machemba

@hancymachemba

Co Director Nasar General Supplies,
Mkulima,
Mfugaji
TANZANIA KWANZA

🏟Team CHELSEA

ID:481783078

linkhttp://www.nasargeneral.com calendar_today03-02-2012 05:17:29

142,5K Tweets

129,7K Followers

33,3K Following

Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Cha ajabu aliyesema anapotezaga watu yupo uraiani ila wanaokamatwa ni Boniface Jacob MalisaGJ ambao wanatoa taarifa za watu wanaopotea. Hii nchi tujitarhimini sana

Cha ajabu aliyesema anapotezaga watu yupo uraiani ila wanaokamatwa ni @ExMayorUbungo @MalisaGJ_ ambao wanatoa taarifa za watu wanaopotea. Hii nchi tujitarhimini sana
account_circle
Monalisandala(@Monalisandala1) 's Twitter Profile Photo

Huyu mwenyekiti wa Uvccm Kagera ndio mtu anaepaswa kuwa mikononi mwa jeshi la polisi, Boniface Jacob na MalisaGJ Walipaswa kuendelea kutupa taarifa za uhalifu na polisi walipaswa kuwapa ulinzi na si huu ujinga wao wa kuwapa kesi eti ni Wachochezi/Wamezua taharuki ipi kwa nani?

Huyu mwenyekiti wa Uvccm Kagera ndio mtu anaepaswa kuwa mikononi mwa jeshi la polisi, @ExMayorUbungo na @MalisaGJ_ Walipaswa kuendelea kutupa taarifa za uhalifu na polisi walipaswa kuwapa ulinzi na si huu ujinga wao wa kuwapa kesi eti ni Wachochezi/Wamezua taharuki ipi kwa nani?
account_circle
Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe.

Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe. #FreeBoni #FreeMalisa
account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Uko hapo ulipo, pazuri au pabaya sababu ama kuna mtu alikuwahi huko nyuma akakuambua ukweli uliokusaidia, ama hakukuambia ukweli kwa wakati sahihi, au alikuambia ukweli ambao ungekusaidia lakini ukaupuuza. Kesho yetu inaumbwa na ukweli au uongo tuliouamini na kuaminishwa jana.'

'Uko hapo ulipo, pazuri au pabaya sababu ama kuna mtu alikuwahi huko nyuma akakuambua ukweli uliokusaidia, ama hakukuambia ukweli kwa wakati sahihi, au alikuambia ukweli ambao ungekusaidia lakini ukaupuuza. Kesho yetu inaumbwa na ukweli au uongo tuliouamini na kuaminishwa jana.'
account_circle
ArikoMaaarge😒(@Marge_DTM) 's Twitter Profile Photo

Kigamboni ni ma last born au? Yaani wamefunga barabara kidogo mara ma Equipment yashafika kuchimbua mitaro😏😅
Wakazi wa Kitunda, Kivule, Madale, Kinzudi, and the likes... please take note

account_circle
W A K U B A N G A I Z A🇹🇿(@hamis_bonge) 's Twitter Profile Photo

Hancy Machemba Jerry Silaa 😀kaka mateso hayo hayo tunayapata wana Msumi.daraja limekatika hakuna hata dalili za kulirejesha toka january.Ukiingia nest hnaona tender zimetangazwa na submission deadline ni 31/4.iende evaluation mpaka award wataanz akujenga august au september.ni kero sana aisee

@hancymachemba @JerrySilaa 😀kaka mateso hayo hayo tunayapata wana Msumi.daraja limekatika hakuna hata dalili za kulirejesha toka january.Ukiingia nest hnaona tender zimetangazwa na submission deadline ni 31/4.iende evaluation mpaka award wataanz akujenga august au september.ni kero sana aisee
account_circle
Mkakeni(@AnnaShayo1) 's Twitter Profile Photo

Hancy Machemba Siyo wabunge tu na madiwani kama sisi tangu anechaguliwa hajawahi kuonekana Tena Wala hakai kwenye kata yake Wala mkoa wake ni huzuni kwa kweli

account_circle
Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Ni muda sahihi wa kufanya tathimini ya ahadi za wabunge kwenye majimbo yetu ili muda sahihi ukifika tuwachambue kama karanga.
Mambo ya kuchagua mbunge kwa umaarufu wake au kwa kuwa ana pesa itatugharimu.
Ahadi za uongo zifike mwisho watuheshimu sisi wananchi tunaowalipa

account_circle
Nice Gisunte(@Nice_Gisunte) 's Twitter Profile Photo

Kaka kuweka kumbukumbu sawa, February 3, 2024 alifanya ziara na alipohitimisha akiwa kata ya Kivule ndipo alituahidi April 2024, mkandarasi ataanza ujenzi wa barabara ya Banana - Kitunda - Kivule - Msongola. April 23, 2024 amerudi kata ya Kitunda kufanya ziara ya kukagua ubovu wa…

account_circle
Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Hiyu mbunge hana tofauti na mbunge wetu Jerry Silaa maana alisema barabara zitaanza kujengwa mwezi wa nne na mpaka leo tarehe 25 April hakuna mkandarasi tunamuona site.
Wacha na sisi tujipange kwenda naye sawa

account_circle
Vanessa A. Mkagilage(@VannesserMalick) 's Twitter Profile Photo

Kwa hizi mvua za Dodoma!
Ukijipoza Kwa Mchemsho wa Sato namna hii lazima usahau kuwa unalalaga peke Yako😂

📍 Nkuhungu Boda Dodoma
📞 0622262110

Delivery tunafanya!

account_circle
SikilizaTogolani(@SikilizaTogolan) 's Twitter Profile Photo

'Katika kutembea kwangu na kusoma kwangu,sijawahi kukutana na Mnara wa Kumbukumbu ya Waliokata Tamaa katika maisha.Hakika, hatutakumbukwa kwa kukata tamaa,tutakumbukwa kwa kuthubutu, kujaribu hata kama tutashindwa,maana hatutahesabiwa pale tulipoanzia, bali pale tuliposhindwia'.

'Katika kutembea kwangu na kusoma kwangu,sijawahi kukutana na Mnara wa Kumbukumbu ya Waliokata Tamaa katika maisha.Hakika, hatutakumbukwa kwa kukata tamaa,tutakumbukwa kwa kuthubutu, kujaribu hata kama tutashindwa,maana hatutahesabiwa pale tulipoanzia, bali pale tuliposhindwia'.
account_circle
Sylvester John Kimeru(@JohnKimeru) 's Twitter Profile Photo

Ombi moja kwa Serikali sikivu pale Kitunda Masai/Kizuiani kuwe na Trafic/Muongoza magari katika kipindi hiki kwani barabara ni mbovu inayosababisha foleni kwani unaweza tumia hata masaa mawili kuvuka pindi magari yanapofungana Jerry Silaa Hancy Machemba

account_circle
Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Si tulikubaliana tutauza nje au tumekosa wateja?
Moyo wa TAIFA ™️ ni dalali mzuri wampe kazi atafute wateja na huwenda pesa itakayopatikana ikasaidia kujenga barabara za Ukonga yetu

account_circle
Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Hii ni kali sana. Sasa Tanzania Railways Corporation wahakikishe uzuri wa hii station uendane na huduma nzuri za usafiri na sio kutuletea mambo ya ajabu kama wenzao Air Tanzania kutwa usafiri haueleweki. Safari ipo mara route unabadilishiwa ukiwa ndani ya ndege tayari.

account_circle
Thomas J. Kibwana(@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Hii stesheni mpya ya treni ya TRC ni 🙌🏾🫡. Mungu atusaidie tu tuepukane na kale kautamaduni wetu wa uharibifu.

account_circle