MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profileg
MFA Tanzania

@mfa_tanzania

Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation

ID:2341682708

linkhttp://www.foreign.go.tz calendar_today13-02-2014 09:21:45

6,0K Tweets

82,3K Followers

561 Following

Tanzania High Commission in London(@TZEmbassyUK) 's Twitter Profile Photo

Tanzania na Ghana kushirikiana ndani ya Jumuiya ya Madola ili kuwezesha nchi zinazoendelea kunufaika na fursa mbalimbali zenye maslahi kwa wananchi wa nchi hizo. Ahadi hiyo imetolewa jana jijini London katika mkutano wa Balozi wa Ghana nchini Uingereza Mheshimiwa Papa…

account_circle
MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Balozi Ali J. Mwadini amekabidhi nakala za Hati za Utambulisho kwa Bi. Maria Sebastian de la Pena, Mkurugenzi Mkuu wa Itifaki Wizara ya Mambo ya Nje ya Hispania, Aprili 11, 2024.

Balozi @AliMwadini amekabidhi nakala za Hati za Utambulisho kwa Bi. Maria Sebastian de la Pena, Mkurugenzi Mkuu wa Itifaki Wizara ya Mambo ya Nje ya Hispania, Aprili 11, 2024.
account_circle
TANZANIA HIGH COMMISSION WINDHOEK(@TWindhoek) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 11/4/2024 Mhe. Caesar C. Waitara amekutana na Uongozi wa Shirika la Uvuvi la Namibia kwa lengo la kujadiliana masuala ya ushirikiano kati ya Shirika hilo na Shirika la Uvuvi la Tanzania hususan katika kubadilishana uzoefu, ujuzi pamoja na uwekezaji.

Tanzania High Commission in South Africa(@tz_embassy) 's Twitter Profile Photo

On 11th April 2024, H.E James G. Bwana, Tanzania’s High Commissioner to South Africa attended the Tourism Investment Forum Africa (TIFA) Conference at in CAPETOWN. Alongside that meeting, H.E. Bwana, held discussions with Mr. Hany El Hady, Director of Sales -…

On 11th April 2024, H.E James G. Bwana, Tanzania’s High Commissioner to South Africa attended the Tourism Investment Forum Africa (TIFA) Conference at #WTMAfrica2024 in CAPETOWN. Alongside that meeting, H.E. Bwana, held discussions with Mr. Hany El Hady, Director of Sales -…
account_circle
Ali J. Mwadini(@AliMwadini) 's Twitter Profile Photo

Dr. Fatih Birol, Executive Director of the International Energy Agency and I co-chaired an interactive session of ambassadors on clean cooking. The session serves as a prelude to the major summit on the agenda to take palce in Paris, next month.

Dr. Fatih Birol, Executive Director of the @IEA and I co-chaired an interactive session of ambassadors on clean cooking. The session serves as a prelude to the major summit on the agenda to take palce in Paris, next month.
account_circle
MFA Tanzania(@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

The High Commissioner of Tanzania to the Republic of South Africa H.E Ambassador James G. Bwana presented his Letters of Credence to H.E Matamela Cyril Ramaphosa, President of the Republic of South Africa. The event was held at the Sefako Makgatho Presidential House in PRETORIA on 9th April 2024

The High Commissioner of Tanzania to the Republic of South Africa H.E @JGBwana presented his Letters of Credence to H.E Matamela Cyril Ramaphosa, President of the Republic of South Africa. The event was held at the Sefako Makgatho Presidential House in PRETORIA on 9th April 2024
account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

I held a very fruitful discussion with President Emmanuel Macron’s Adviser for Africa, Mr. Jérémie Robert. We touched on many issues including development cooperation, trade and investment, and our roles towards peace and security in the Great Lakes region.

ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki maadhimisho ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari mjini Kigali nchini Rwanda.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakimshuhudia Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwasha mwenge wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka shada la maua kwenye eneo la Makaburi ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye eneo la Makaburi kwa ajili ya kuweka shada la maua wakati wa Maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye eneo la Makaburi kwa ajili ya kuweka shada la maua wakati wa Maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda.
account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

In Rwanda for the 30th Commemoration of 1994 Genocide with H.E Samia Suluhu. We congratulate the leadership of Rwanda for excellent organization of the events, which in itself speaks of Rwanda’s rebirth and quest for excellence. We must mean it when we say NEVER AGAIN!

In Rwanda for the 30th Commemoration of 1994 Genocide with H.E @SuluhuSamia. We congratulate the leadership of Rwanda for excellent organization of the events, which in itself speaks of Rwanda’s rebirth and quest for excellence. We must mean it when we say NEVER AGAIN! #Kwibuka30
account_circle