Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profileg
Neema Lugangira

@neemalugangira

Proud Mother👫| MP @bunge_tz | Founder @omukahub @agrithamani @apnigafrica | Board @parlnetwork @IPNEducation | MAG @intgovforum | Mentor @SADCYouthParly

ID:4140714021

linkhttps://www.parliament.go.tz calendar_today08-11-2015 09:45:24

15,8K Tweets

21,3K Followers

3,6K Following

Follow People
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Wabunge tulioshiriki Semina ya Omuka Hub UNESCO Dar es Salaam trh 2 Mei ya Wadau wa Habari & Wabunge kuhusu Tasnia ya Habari & Matumizi ya Akili Mnemba & Teknolojia kwenye Demokrasia jana tulishiriki pia Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia.

Wabunge tulioshiriki Semina ya @OmukaHub @unescodar trh 2 Mei ya Wadau wa Habari & Wabunge kuhusu Tasnia ya Habari & Matumizi ya Akili Mnemba #AI & Teknolojia kwenye Demokrasia jana tulishiriki pia Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ya Dunia. #WPFD2024
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Tunamshukuru Mhe Spika Dr. Tulia Ackson jana wakati akihutubia Hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani; alitambua changamoto za Akili Mnemba - Artificial Intelligence na alieleza athari kwa wanasiasa hivyo kuelekeza umuhimu wa kupata ufumbuzi.

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Leo katika Semina ya Wabunge 25 iliyoandaliwa na Omuka Hub, UNESCO Dar es Salaam, Nukta Africa na Jamii Forums kuhusu Tasnia ya Habari na Matumizi ya Akili Mnemba/Bandia na Teknolojia kwenye Demokrasia pamoja na masuala mengine, nimeelezea changamoto ya upotoshaji wa taarifa…

Leo katika Semina ya Wabunge 25 iliyoandaliwa na @OmukaHub, @unescodar, @NuktaAfrica na @JamiiForums kuhusu Tasnia ya Habari na Matumizi ya Akili Mnemba/Bandia #AI na Teknolojia kwenye Demokrasia pamoja na masuala mengine, nimeelezea changamoto ya upotoshaji wa taarifa…
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

To commemorate the World Press Freedom Day; today, Omuka Hub, UNESCO Dar es Salaam, Nukta Africa & Jamii Forums organised a Session for 25 Members of Parliament on Media, Artificial Intelligence & Technologies for Democracy whereby Adv Harold Sungusia, President Tanganyika Law Society(TLS) and…

To commemorate the World Press Freedom Day; today, @OmukaHub, @unescodar, @NuktaAfrica & @JamiiForums organised a Session for 25 Members of Parliament on Media, Artificial Intelligence #AI & Technologies for Democracy whereby Adv Harold Sungusia, President @TanganyikaLaw and…
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Jana , nimeshiriki Semina iliyoandaliwa na HakiElimu kwa ajili ya Wabunge Vinara wa Elimu ambapo tumejadiliana kwa kina kuhusu Vipaumbele vya Serikali katika Bajeti ya Sekta ya Elimu 2024/25. Nimejipanga kuchangia katika eneo la lishe, maji, tehama, tahsusi mpya n.k.

Jana #MeiMosi, nimeshiriki Semina iliyoandaliwa na @HakiElimu kwa ajili ya Wabunge Vinara wa Elimu ambapo tumejadiliana kwa kina kuhusu Vipaumbele vya Serikali katika Bajeti ya Sekta ya Elimu 2024/25. Nimejipanga kuchangia katika eneo la lishe, maji, tehama, tahsusi mpya n.k.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Jana ktk Kongamano la Wadau wa Habari na Uchaguzi; nilisisitiza uchaguzi ni suala nyeti hivyo wadau wa habari wadhihirishe uhakika wa taarifa za uchaguzi kabla ya kuzitoa na tunawategemea kuwa mstari wa mbele kukemea vitendo vyote na vya aina yoyote vya udhalilishaji wa kijinsia.

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

I thank Media Council for inviting me to the Stakeholders' Conference on Role of Media in Elections. I tabled need for Media to address fake news thus uphold Reporting Ethics & call out gender based violence on women in politics in elections including online.
📍Dodoma
🗓️ 30/4/2024

I thank @mctanzania for inviting me to the Stakeholders' Conference on Role of Media in Elections. I tabled need for Media to address fake news thus uphold Reporting Ethics & call out gender based violence on women in politics in elections including online. 📍Dodoma 🗓️ 30/4/2024
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Jana tarehe 29/4/2024, tumefanikiwa kuwapa TABASAMU WAZEE 10 kutoka kufuatia Michango ya TZS. 580,985 iliyowasilishwa na tunawashukuru sana wote waliofanikisha kufikisha Tabasamu kwa Wazee ❤️🙏


Jana tarehe 29/4/2024, tumefanikiwa kuwapa TABASAMU WAZEE 10 kutoka #Bukoba kufuatia Michango ya TZS. 580,985 iliyowasilishwa #NeemaNaMaendeleoFund na tunawashukuru sana wote waliofanikisha kufikisha Tabasamu kwa Wazee ❤️🙏 #NeemaNaMaendeleoFund #TabasamuKwaWazeeNaWahitaji
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Jana, Wazee 10 kutoka wamepata Tabasamu kwa hisani ya maana kila mmoja amepokea yenye Mchele Kilo 5, Maharage Kilo 5, Unga wa Sembe Kilo 5, Sukari Kilo 2 na Mafuta ya Kupikia Lita 2. Nawashukuru ❤️🙏

Aidha, niwape…

Jana, Wazee 10 kutoka #Bukoba wamepata Tabasamu kwa hisani ya #NeemaNaMaendeleoFund maana kila mmoja amepokea #WazeeFoodPack yenye Mchele Kilo 5, Maharage Kilo 5, Unga wa Sembe Kilo 5, Sukari Kilo 2 na Mafuta ya Kupikia Lita 2. Nawashukuru #NeemaNaMaendeoFund ❤️🙏 Aidha, niwape…
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Dedicated time yesterday afternoon to join Kenneth Union of Tanzania Press Clubs, Nancy UNESCO Dar es Salaam and Didi United Nations TZ to fine-tune plans for the World Press Freedom Day in .

Excited the Media, AI and Emerging Technologies session will also address women in politics’ concerns 📰🎥🖥️

Dedicated time yesterday afternoon to join Kenneth @UTPCtz, Nancy @unescodar and Didi @UnitedNationsTZ to fine-tune plans for the World Press Freedom Day in #Dodoma. Excited the Media, AI and Emerging Technologies session will also address women in politics’ concerns 📰🎥🖥️
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimekuwa nikisemea Wakulima wa Vanilla na leo nimeiuliza Wizara ya Kilimo ina mpango gani wa kuimarisha Kilimo cha Vanilla kwa kuhakikisha upatikanaji wa Soko la Vanilla ili Wakulima wa Vanilla wa Mkoa wa Kagera wanufaike na zao hili la Vanilla? Nitaendelea kufuatilia.

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Kesho Jumatatu trh 29/4, Wazee 10 Wenye Uhitaji kutoka wanakwenda kupata tabasamu kwa hisani ya kufuatia Wananchi 28 kutoka na kwa ujumla kuchangia jumla TZS. 580,985 kwa ajili ya .

NAWASHUKURU SANA KWA IMANI ❤️🙏

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

21 Machi kupitia WhatsApp Group Kagera Mpya 🇹🇿 3, kaka Charles aka Lowassa Jnr ambae hatufahamiani aliwiwa kupendekeza wazo la kuniunga mkono kwa kuanzisha ili wananchi wachangie kwa hiari kufanikisha jitihada zangu za kufikia wenye uhitaji. NAWASHUKURU ❤️🙏

21 Machi kupitia WhatsApp Group Kagera Mpya 🇹🇿 3, kaka Charles aka Lowassa Jnr ambae hatufahamiani aliwiwa kupendekeza wazo la kuniunga mkono kwa kuanzisha #NeemaNaMaendeleoFund ili wananchi wachangie kwa hiari kufanikisha jitihada zangu za kufikia wenye uhitaji. NAWASHUKURU ❤️🙏
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

🕊️BURIANI MA BLANDINA

Nimeungana na Familia, Viongozi na Wananchi wote kushiriki Mazishi ya Marehemu Ma Blandina Felix Kilonda, Mama Mzazi wa Da Lydia Lugazia, Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Kagera 🙏

📍Kata Buganguzi, Wilaya Muleba
🗓️ Jumamosi 27 Aprili 2024

🕊️BURIANI MA BLANDINA Nimeungana na Familia, Viongozi na Wananchi wote kushiriki Mazishi ya Marehemu Ma Blandina Felix Kilonda, Mama Mzazi wa Da Lydia Lugazia, Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Kagera #RIPMaBlandina🙏 📍Kata Buganguzi, Wilaya Muleba 🗓️ Jumamosi 27 Aprili 2024
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa njiani kuelekea , nimekuwa na kikao kifupi hapa na familia yangu ya Agri Thamani Foundation na Omuka Hub kuwajulia hali na tumetumia fursa hiyo kutathmini utendaji kazi wetu, mafanikio yetu na kujipanga vizuri ili tuendelee kuchangia utekelezaji wa malengo ya Serikali.

Nikiwa njiani kuelekea #Muleba, nimekuwa na kikao kifupi hapa #Bukoba na familia yangu ya @AgriThamani na @OmukaHub kuwajulia hali na tumetumia fursa hiyo kutathmini utendaji kazi wetu, mafanikio yetu na kujipanga vizuri ili tuendelee kuchangia utekelezaji wa malengo ya Serikali.
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Mungu ni Mwema, nimewahi kuungana na dada yangu, Kiongozi wangu, Da Lydia Lugazia, Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Mkoa Kagera kufuatia Msiba wa Mama Yake Mzazi 🙏

Mungu ni Mwema, nimewahi #Bukoba kuungana na dada yangu, Kiongozi wangu, Da Lydia Lugazia, Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Mkoa Kagera kufuatia Msiba wa Mama Yake Mzazi #RIPMaBlandina 🙏
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Iwe mvua, iwe jua, Mhe Rais Samia Suluhu upo imara site kutuongoza kwa weledi mkubwa; na tunajifunza mengi kupitia uongozi wako, tunajivunia na tunasema tupo kazini, 🔥

Iwe mvua, iwe jua, Mhe Rais @SuluhuSamia upo imara site kutuongoza kwa weledi mkubwa; na tunajifunza mengi kupitia uongozi wako, tunajivunia na tunasema #UWTImara #JeshiLaMama tupo kazini, #TukutaneSite 🔥 #MuunganoDay
account_circle