Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

YANGA UBINGWA HUO UNANUKIA, YASHINDA 5-0

Ushindi huo dhidi ya huku wafungaji wakiwa ni (matatu), na unaifanya ifikishe pointi 68 na kuusogelea kwa ukaribu ubingwa wa

Ikishinda mechi mbili zijazo, Yanga

YANGA UBINGWA HUO UNANUKIA, YASHINDA 5-0

Ushindi huo dhidi ya #KageraSugar huku wafungaji wakiwa ni #AziziKi (matatu), #FistonMayele na #BernardMorrison unaifanya #Yanga ifikishe pointi 68 na kuusogelea kwa ukaribu ubingwa wa #LigiKuuBara

Ikishinda mechi mbili zijazo, Yanga
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Stephane Aziz-Ki amerudi tena, ni mapumziko hivi sasa akiwapa Yanga ushindi mbele dhidi ya Kagera Sugar.

Neno moja kwa mwamba Aziz-Ki.

#NBCPL Stephane Aziz-Ki amerudi tena, ni mapumziko hivi sasa akiwapa Yanga ushindi mbele dhidi ya Kagera Sugar.

Neno moja kwa mwamba Aziz-Ki.

#Yanga #KageraSugar
account_circle
אנדרוניקו 💪🤴(@thenameis_Andro) 's Twitter Profile Photo

Wakati fulani nikiwa Kagera wakati huo kulikuwa kuna mechi ya vs nikaona watu wanaisapoti zaidi ya timu yao ya nyumbani.
nikaamua kuwauliza sababu 😂

Then nikakumbuka na mimi nilikuwa nasapoti wakati ikicheza na au NIKATULIA

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Yanga yatoa onyo kali kuelekea mchezo wa 'Kariakoo Derby', Aziz-Ki akiondoka na mpira wake baada ya kuiadhibu Kagera Sugar.

Kituo kinachofuata ni dhidi ya Simba. Neno lako moja !!

#NBCPL Yanga yatoa onyo kali kuelekea mchezo wa 'Kariakoo Derby', Aziz-Ki akiondoka na mpira wake baada ya kuiadhibu Kagera Sugar.

Kituo kinachofuata ni dhidi ya Simba. Neno lako moja !!

#Yanga #KageraSugar
account_circle