Women and Technology Tanzania(@TechWomenTZ) 's Twitter Profile Photo

Unlock the power of your digital presence!

Digital strategist GetrudeM taught the young women in the program about digital identity, online bios, and digital footprints.

Empowering women-led startups with essential skills! πŸŒπŸ’»

Tz

Unlock the power of your digital presence! 

Digital strategist @GetrudeMligo taught the young women in the #SheTech program about digital identity, online bios, and digital footprints. 

Empowering women-led startups with essential skills! πŸŒπŸ’» 

#TechWomenTz #SheTechTz
account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship CafΓ© inayoendelea hivi sasa tarehe iliyoandaliwa na taasisi ya LP Digital. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako.

Chukua hatua ya kwanza kuelekea mafanikio! Fuatilia Mentorship CafΓ© inayoendelea hivi sasa tarehe  iliyoandaliwa na taasisi ya @LPDigitalTZ. Ni fursa muhimu ya kukuza ujuzi wako na kufikia malengo yako. 
#Techwomentz #SkillingTanzania #Mitandaonasisi
account_circle
Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

Day in a nutshell, huyu mwanafunzi anaonyesha kwa kiasi gani jitihada zetu zitazaa matunda katika kumuelewesha na kumfundisha Binti wa Kitanzania kuhusiana na Teknolojia mpya yenye fursa nyingiii cc LP Digital Women and Technology Tanzania

account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Katika darasa leo, mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi AI inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip

account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Kupitia kikao cha Mentorship Cafe, tunapata fursa ya kujifunza na kushirikiana na wale waliofanikiwa kabla yetu.

Asanteni sana LP Digital kwa kutuleta pamoja vijana na mentors kwa lengo la kujenga ujuzi na ufahamu zaidi.


Kupitia kikao cha Mentorship Cafe, tunapata fursa ya kujifunza na kushirikiana na wale waliofanikiwa kabla yetu.

 Asanteni sana @LPDigitalTZ kwa kutuleta pamoja vijana na mentors kwa lengo la kujenga ujuzi na ufahamu zaidi.

 #SkillingTanzania #MitandaoNaSisi
#TechWomenTZ
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

wengi wanaogopa kwamba AI itachukua kazi zetu na wengine wanahofia robots kuchukua kazi zetu lakini ukweli ni kwamba sisi inabidi tujifunze kufanya vyema kwa kutumia Ai na tuje na Ai based solutions

wengi wanaogopa kwamba AI itachukua kazi zetu na wengine wanahofia robots kuchukua kazi zetu lakini ukweli ni kwamba sisi inabidi tujifunze kufanya vyema kwa kutumia Ai na tuje na Ai based solutions #GirlsinICTDay #TechWomenTz
account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

'Ukiwa unataka kitu toka kwenye Akili Mnembe ni vyema ukaweka details zako vizuri ili upate kile unachokitaka, mfano ukitaka picha ya mwanamke mweusi inabidi uiambie kabisa picha ya mwanamke mweusi β€œ Carol Ndosi

'Ukiwa unataka kitu toka kwenye Akili Mnembe ni vyema ukaweka details zako vizuri ili upate kile unachokitaka, mfano ukitaka picha ya mwanamke mweusi inabidi uiambie kabisa picha ya mwanamke mweusi β€œ @CarolNdosi 

#GirlsInICTDay #TechWomenTz
account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

'Wengi wanaogopa kwamba Akili Mnembe (AI) itachukua kazi zetu na wengine wanahofia robots kuchukua kazi zetu lakini ukweli ni kwamba sisi inabidi tujifunze kufanya vyema kwa kutumia Ai na tuje na Ai based solutions' - Carol Ndosi

'Wengi wanaogopa kwamba Akili Mnembe (AI) itachukua kazi zetu na wengine wanahofia robots kuchukua kazi zetu lakini ukweli ni kwamba sisi inabidi tujifunze kufanya vyema kwa kutumia Ai na tuje na Ai based solutions' - @CarolNdosi
#GirlsinICTDay #TechWomenTz
account_circle
KAPETOπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Katika Darasa leo, Mwalimu kutoka log.ai anawashirikisha wanafunzi mifano inayoonyesha jinsi inavyofanya kazi. Huu ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyobadilika na teknolojia.
LP Digital Women and Technology Tanzania Femina Hip

account_circle