Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Kikotoo ni UNYONYAJI.

WALIOTUNGA MUSWADA,waliopitisha na waliosaini huo muswada wote wameshiriki dhambi ya dhuluma kwa wafanyakazi.

Kikotoo ni UNYONYAJI.

WALIOTUNGA MUSWADA,waliopitisha na waliosaini huo muswada wote wameshiriki dhambi ya dhuluma kwa wafanyakazi.

#MeiMosi
account_circle
FlavianaMatataFdn(@FMFound) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani. Tunawapongeza wafanyakazi wote kwa mchango mkubwa wanaoendelea kufanya katika maendeleo ya taifa letu.

Leo ni Siku ya Wafanyakazi Duniani. Tunawapongeza wafanyakazi wote kwa mchango mkubwa wanaoendelea kufanya katika maendeleo ya taifa letu.
 
#MeiMosi
#SDG4
account_circle
Laura A. Ndosi(@laura_afrael) 's Twitter Profile Photo

ya kwanza tangu kuanza utumishi wa umma.

Tumeyasikia yaliyosemwa na Mhe Makamu wa Rais, Dkt Mpango kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu.

Tuna imani tele kwa Serikali yetu katika kulinda na kuboresha maslah ya wafanyakazi:

#MeiMosi ya kwanza tangu kuanza utumishi wa umma.

Tumeyasikia yaliyosemwa na Mhe Makamu wa Rais, Dkt Mpango kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu.

Tuna imani tele kwa Serikali yetu katika kulinda na kuboresha maslah ya wafanyakazi: #MamaYukoKazini #MamaAnafanikisha
account_circle
Harry.(@HarryGodfirst) 's Twitter Profile Photo

Binafsi naogopa sana mtu MJINGA au kikundi cha Watu WAJINGA.

Huu Ujinga anaoongea hapa ni kwa sababu ya KUJIPENDEKEZA na VIJISENTI alivyopewa.Kwa nn WABUNGE wao kuongezewa MISHAHARA ni sawa ila wafanyakazi ndio wajibane?

Hii Nchi ngumu sana kutokana na aina hii ya raia.

account_circle