Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profileg
Maulid Kitenge

@mshambuliaji

HEAD OF SPORTS WASAFI FM

ID:961928330

linkhttp://maulidkitenge.com calendar_today21-11-2012 07:19:36

54,5K Tweets

1,4M Followers

350 Following

Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

: Mshambuliaji kinda wa klabu ya Yanga ameripotiwa kutakiwa na Klabu ya Azam fc huku Wanalambalamba hao wakidaikwa kupeleka ofa ya milioni 400 (400m) kama ada ya usajili kwa Mzize kwa lengo na kumng’oa jangwani.

Hatua hiyo imepelekea klabu ya Yanga kwenda mezani na nyota…

#TETESI: Mshambuliaji kinda wa klabu ya Yanga ameripotiwa kutakiwa na Klabu ya Azam fc huku Wanalambalamba hao wakidaikwa kupeleka ofa ya milioni 400 (400m) kama ada ya usajili kwa Mzize kwa lengo na kumng’oa jangwani. Hatua hiyo imepelekea klabu ya Yanga kwenda mezani na nyota…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Burundi imetangaza kuwa katika wakati mgumu na kutangaza hali ya hatari kutokana na kujaa kwa Ziwa Tanganyika na kuingia katika makazi ya watu.

Waziri wa Mambo ya Ndani Martin Niteretse amfahamisha kuwa hadi kufikia sasa zaidi ya watu 200,000 wameyakimbia makazi yao…

Serikali ya Burundi imetangaza kuwa katika wakati mgumu na kutangaza hali ya hatari kutokana na kujaa kwa Ziwa Tanganyika na kuingia katika makazi ya watu. Waziri wa Mambo ya Ndani Martin Niteretse amfahamisha kuwa hadi kufikia sasa zaidi ya watu 200,000 wameyakimbia makazi yao…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Borussia Dortmund imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Atletico Madrid kwenye robo fainali.

FT: Dortmund 🇩🇪 4-2 🇪🇸 Atletico Madrid (Agg. 5-4)
⚽ Brandt 34'
⚽ Maatsen 39'
⚽ Fullkrug 71'
⚽ Sabitzer 74'
⚽ Hummels (og) 49'
⚽…

Borussia Dortmund imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Atletico Madrid kwenye robo fainali. FT: Dortmund 🇩🇪 4-2 🇪🇸 Atletico Madrid (Agg. 5-4) ⚽ Brandt 34' ⚽ Maatsen 39' ⚽ Fullkrug 71' ⚽ Sabitzer 74' ⚽ Hummels (og) 49' ⚽…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

PSG imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 6-4 dhidi ya Barcelona katika dimba la Estadi Olímpic Lluís Companys (Barcelona) kwenye mchezo wa robo fainali.

FT: Barcelona 🇪🇸 1-4 🇫🇷 PSG (Agg. 4-6)
⚽ Raphinha 12'
🟥 Araujo 29'
⚽ Dembele 40'…

PSG imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 6-4 dhidi ya Barcelona katika dimba la Estadi Olímpic Lluís Companys (Barcelona) kwenye mchezo wa robo fainali. FT: Barcelona 🇪🇸 1-4 🇫🇷 PSG (Agg. 4-6) ⚽ Raphinha 12' 🟥 Araujo 29' ⚽ Dembele 40'…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya tani 200,000 (laki mbili) za korosho ghafi, zimesafirishwa kupitia Bandari ya Mtwara katika msimu wa mwaka 2023/2024.

Akizungumza tarehe 16 Aprili, 2024 kwenye mkutano wa Wadau wa maendeo wa ushoroba wa Mtwara uliofanyika mjini Mtwara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Zaidi ya tani 200,000 (laki mbili) za korosho ghafi, zimesafirishwa kupitia Bandari ya Mtwara katika msimu wa mwaka 2023/2024. Akizungumza tarehe 16 Aprili, 2024 kwenye mkutano wa Wadau wa maendeo wa ushoroba wa Mtwara uliofanyika mjini Mtwara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

MIMI NI SIMBA TAREHE 20 NAKWENDA KWENYE DERBY

“Mimi ni Simba siwezi kuogopa chochote kile hii Simba ni ya mashabiki sio ya Mangungu siwezi kuwa muoga na Tarehe 20 nitakwenda kwa Mkapa kwenye Derby”

Shabiki wa Simba akizungumza wakati Simba ikielekea Zanzibar kuweka kambi ya…

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

SIMBA HIYO ZENJI KUWEKA KAMBI YA DERBY

Timu ya Simba imekwea Boti kuelekea Kisiwani Zanzibar kuweka kambi ya siku 3 kwa ajili ya mchezo wa Derby ya Kariakoo siku ya Jumamosi.

.

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Meneja wa Chelsea, Mauricio Pochettino amechukizwa na kitendo cha wachezaji klabu hiyo Nickolas Jackson na Noni Madueke kuonekana kugombania nafasi ya kupiga penalti dhidi ya Everton kabla ya Cole Palmer kuchukua mpira na kufuingia Chelsea bao la tano katika dimba la Stamford…

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Adel Amrouche, anakwenda kukata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo ya FIFA maarufu CAS baada ya kufungiwa mechi nane na Shirikisho la Soka Afrika kutokana na matamshi yake yaliyozua utata katika Mashindano ya Kombe la…

Ubalozi wa Tanzania nchini Japan umezindua Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa mashindano ya mpira wa miguu “MUUNGANO CUP 2024”.

Katika mashindano hayo yaliyozinduliwa Aprili 14, 2024 yaliandaliwa kwa ushirikiano na timu ya mpira ya Diaspora…

Ubalozi wa Tanzania nchini Japan umezindua Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa mashindano ya mpira wa miguu “MUUNGANO CUP 2024”. Katika mashindano hayo yaliyozinduliwa Aprili 14, 2024 yaliandaliwa kwa ushirikiano na timu ya mpira ya Diaspora…
account_circle