Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

EDWIN BARUA NI ‘PRODUCTIVE’ KULIKO KIBU DENIS - Hansrafael

Hans anasema kati ya Kibu Denis na Edwin Barua yeye anaenda na Barua kwasababu ana ubora mkubwa wa kupiga faulo na ana zao zuri kwenye 18 ya Mpinzani kuliko Kibu.

Wewe unaenda na Nani?

.9…

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

“Biashara ya Simba ishakuwa ngumu msimu huu, Ni ngumu kwa Simba kuvuna alama tatu kwa mechi zilizobaki kutokana na kufanya vibaya uwanjani mara kwa mara” - nasrikhalfan

.9

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

“Changamoto ya Simba ni umaliziaji ja hata kwenye Dabi tungekuwa na Straika hatari Yanga wangekufa. Kuelekea Dirisha la Usajili Uongozi wa Simba umsikilize Kocha Benchikha anataka nini” Ismail Aden Rage, aliyewahi kuwa M/Kiti Simba Sc.

@sportsarena88.9

account_circle
PAVEAyo-Blog (Official)✍️(@PAVEAyoTV) 's Twitter Profile Photo

Ni Uzi upi wa Yanga umeupenda zaidi kati ya Jezi tatu zilizotambulishwa Jana?

1. Njano 2. Kijani 3. Dark Blue?

sponsored by @tigo_tanzania

Cc Bintisuleimani @georgeambangile Ahmed Abdallah na nasrikhalfan

@sportsarena88.9

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

“Saido ilimpasa kuondoka Simba msimu uliopita kwasababu mwili umechoka, Alitakiwa ajue wakati sahihi kwenda timu nyingne isiyokuwa na pressure kama Simba” - Hansrafael

@sportsarena88.9

account_circle
Kido Sports(@kido_sports) 's Twitter Profile Photo

“Takwimu zimeonesha Kuna Ligi tumezipita lakini sidhani kama tumeipita ligi ya Afrika kusini na siamini kigezo cha kuoneshwa mechi zetu ndio kigezo cha kuipita Afrika Kusini”

Uchambuzi wa soka nasrikhalfan

Cc : @sportsarena88.9

“Takwimu zimeonesha Kuna Ligi tumezipita lakini sidhani kama tumeipita ligi ya Afrika kusini na siamini kigezo cha kuoneshwa mechi zetu ndio kigezo cha kuipita Afrika Kusini” 

Uchambuzi wa soka @nasrikhalfan_ 

Cc : @sportsarena88.9 

#tumerudirasmi #kidosportsupdates
account_circle
Hansrafael(@Hansrafael19) 's Twitter Profile Photo

'Habari za uhakika nilizonazo Moses Phiri ana ugonvi na na Try Again ndiyo maana hachezi'

Amesema hayo @yusuphmkule kupitia @sportsarena88.9 ya Wasafifm

account_circle
𝒍𝒊𝒍𝒄𝒉𝒊𝒃𝒘𝒊𝒃𝒘𝒊 𝑫𝒂 𝒗𝒊𝒏𝒄𝒊(@fahdswaleh) 's Twitter Profile Photo

Simba hatuhangaiki tena na Mchezaji tuliyemalizana na okwa yupo huru kuzungumza anachojisikia na uzuri hatudai chochote hivyo hayo anayozungumza ni mazungumzo baada ya habari”

sportsarena88.9 Wasafi media

©️ Ahmed Ally
Meneja wa habari wa Simba SC

account_circle
Thømz(@MakabalaJoseph) 's Twitter Profile Photo

@_dannyInc SportsArenaTz Maulid Kitenge ricardomomo George Job Hhhhh ni page ya mtu binafsi tuu ameamua kiita sports arena. Kama hujui chukua hyo itakusaidia badae😂😂 only sports arena wanapage ya IG inaitwa 'SportsArena88.9' chukua. Angalia bio yake then utaniamn tuu

account_circle