Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profile Photo

Katika muendelezo wa vikao kazi na Kikosi Kazi chenye majukumu ya kuhakikisha linaendelea kustawi na suala la Ukatili wa Kijinsia michezoni linakabiliwa na kutokomezwa ipasavyo.

ย  Women Fund Tanzania Trust

Katika muendelezo wa vikao kazi na Kikosi Kazi chenye majukumu ya kuhakikisha #sokalawanawaketz linaendelea kustawi na suala la Ukatili wa Kijinsia michezoni linakabiliwa na kutokomezwa ipasavyo.
 
#sokalawanawaketzย #PingaUkatili #Tanzania #Zanzibar #globapeace @WomenFund_TZ
account_circle
Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profile Photo

Ushiriki wa wanawake katika Soka ni ishara mojawapo kuwa wanajishirikisha katika uchumi jumuishi na kuondoa dhana ya utegemezi.
Natoa rai kwa wanajamii kuunga mkono juhudi zao kwa kuondoa dhana potofu kuwa binti kucheza soka ni kupoteza muda.๐Ÿค๐Ÿพ

#PingaUkatili
#sokalawanawaketz
account_circle
Abdulitwalib Salum(@AbdulitwalibS) 's Twitter Profile Photo

Vijana wanapokutana na kujadiliana mambo muhimu pia tukumbuke ningumu pia kusambaratisha maamuzi ya vijana hao endapo tu watashikamana na kushirikiana.

Vijana wanapokutana na kujadiliana mambo muhimu pia tukumbuke ningumu pia kusambaratisha maamuzi ya vijana hao endapo tu watashikamana na kushirikiana.
#nguvumoja 
#Pingaukatili
#sautiyavijana
account_circle