Sheria Kiganjani
@SheriaKiganjani
OFFICIAL SHERIA KIGANJANI PAGE
ID:1066798915364839424
http://www.sheriakiganjani.or.tz 25-11-2018 21:00:56
926 Tweets
656 Followers
12 Following
IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 26 (1) ya Katiba ya Tanzania inayosisitiza wajibu wa raia kutii Sheria za Nchi
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheria kiganjani #sheria kiganjani app #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi
Ni faraja kwetu kupokea jumbe chanya kuhusu huduma zetu. Nia yetu ni kuwafikia na kuwasaidia watanzania wengi zaidi kwa njia ya mtandao.
#sheriakiganjani app #sheriakiganjani #sktestimonies #legalgurus #legalgurus #kaributukuhudumie #hudumabora
Tunawatakia Waislamu wote duniani EID MUBARAK!
#sheriakiganjani app #legalgurus #legaltech #justlers #fahamusheria #sheriakiganjani #eidmubarak
IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 28 (1) ya Katiba ya Tanzania inayosisitiza haki na usawa wa watu wote kisheria.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheria kiganjani #sheria kiganjani app #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #usawa
Congratulations to our CEO and Co-founder Nabiry Juma Jumanne for winning a Honorary Award of Forty under 40 Africa in the LAW category.
#sheriakiganjani app #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #fortyunder40africa #continentalaward #honoraryaward #accolade #law #award
Ni faraja kwetu kupokea jumbe chanya kuhusu huduma zetu. Nia yetu ni kuwafikia na kuwasaidia watanzania wengi zaidi kwa njia ya mtandao.
#sheriakiganjani app #sheriakiganjani #sktestimonies #legalgurus #legalgurus #kaributukuhudumie #hudumabora
ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA USHAHIDI kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheriakiganjani app #sheriakiganjani #skulizawakili #freeday #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #freeday #maswalinamajibu #sheriayaushahidi
Zifuatazo ni faida za urasimishaji biashara nchini. Kwa taarifa zaidi kuhusu urasimishaji biashara, tuma neno BIASHARA kwenda namba 15062.
#sheriakiganjani app #sheriakiganjani #legaltech #legalgurus #businessformalization #digitalbiashara #urasimishajibiashara #msmes #smes
FAHAMU SHERIA ya leo ni kutoka Sheria ya Ushahidi, Kifungu cha 62 (1) (b) inayoelezea ushahidi wa mahakamani.
#sheria kiganjani app #sheria kiganjani #legaltech #legalgurus #skfahamusheria #sheria yamazingira #mazingira #sheria #sheria yaushahidi #ushahidi #mahakama
Tunawatakia Wakristo wote duniani Pasaka njema yenye furaha na amani.
#sheriakiganjani #sheriakiganjani app #legaltech #legalgurus #pasaka #pasaka njema #easter #happyeaster #wakristo
IJUE KATIBA ya Ijumaa ya leo ni kutoka Ibara ya 28 (1) ya Katiba ya Tanzania inayosisitiza wajibu wa raia kudumisha uhuru na umoja wa taifa.
#skijuekatiba #katiba #tanzania #sheria kiganjani #sheria kiganjani app #legalgurus #legaltech #justlers #katiba #haki #sheria #nchi #umoja
Tunawatakia Wakristo wote duniani Ijumaa Kuu Njema.
#sheriakiganjani #sheriakiganjani app #legaltech #legalgurus #ijumaakuu #goodfriday #wakristo
Ni faraja kwetu kupokea jumbe chanya kuhusu huduma zetu. Nia yetu ni kuwafikia na kuwasaidia watanzania wengi zaidi kwa njia ya mtandao.
#sheriakiganjani app #sheriakiganjani #sktestimonies #legalgurus #legalgurus #kaributukuhudumie #huduma
ULIZA WAKILI DAY! Tunakaribisha maswali kuhusu SHERIA YA USIMAMIZI WA MAZINGIRA kupitia komenti au kutuma ujumbe binafsi bila malipo yoyote. #sheria kiganjani app #sheria kiganjani #skulizawakili #legaltech #legalgurus #kaributukuhudumie #maswalinamajibu #sheria #usimamizimazingira